Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete,Waziri wa Katiba na Sheria Dkt.Asha Rose
Migiro,Jaji Mkuu Mohamed Othman Chande,pamoja na Rais wa Chama Cha
Kimataifa cha Majaji Wanawake wakiimbaq wimbo wa taifa wakati wa
ufunguzi wa Mkutano wa 12 wa chama hicho uliofanyika katika ukumbi wa
kimataifa wa mikutano wa Arusha AICC.Mkutano huo ulifunguliwa na Rais
Kikwete.
Baadhi
ya majaji wanawake wanaoshiriki Mkutano wa 12 wa Chama Cha Kimataifa
cha Majaji wanawake unaofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano
mjini Arusha(picha na Freddy Maro).
No comments:
Post a Comment