Leo hii Stamina ametengeneza gumzo kwa mashairi yaliyo katika wimbo
wake mpya na Nay wa Mitego "Huko Kwenu Vipi" ambao wamejibizana kuhusu
mziki wa kuimba na mziki wa hiphop (Ngumu)
Lengo kubwa katika ngoma hii ni kutuweka pamoja wasani, kusiwe na
tabaka la bongo fleva hivi hiphop hivi wote tuwe kitu kimoja amesema
Stamina.
huu ni mmoja kati ya mashairi yaliyoko katika wimbo huo .
Stamina " kwa kupost
picha insta, hilo mnaongoza, utaskia mjengo wangu mpya kumbe umepanga
mnajiongeza. naskia daily mpo gym eti mnatanua vifua, wakati mkirudi
makweni wengi wenu mnajichubua
Nay wamitego: " Nyie
mnajifanya mnakaza huku mnakufa na njaa, hakuna mnachopata zaidi ya sifa
kwenye mitaa, kwanza mnatudhalilish akutwa mnatupiga vizinga, umerekani
mwingi mpaka mnakula unga"
No comments:
Post a Comment