Baba mmoja amchinja mtoto huko Himo Kisa kuutoa ubongo na
kuula na kukata sehemu za siri za mtoto huyo wa darasa la tano Baadae akajikata
sehemmu za siri
Hii story imeongelwa leo kwenye kipindi cha HekaHeka kinacho
rushwa na Clouds FM. Dah jamani kumbe huyu mkaka alikuwa ni house boy wa mtu
huko Moshi na toka jana alionyesha dalili za kurukwa akili akaanza kupasua
vioo.
Sasa naskia asubuhi ya leo huyu jamaa kamkata mtoto wa nyumba hiyo na
panga kichwani kama nazi akaanza kula ubongo wake na yeye akajikata uume wake
pia akaula. Polisi walifika na kumchuka kumfikisha hospitali baada ya muda
akafariki. Jamani tuweni makini na hawa watu tunao wachukua kutisaidia
majumbani kwetu yaani mtoto wa watu kauwawa kikatili sababu ya ignorance maana
wangemwahi huyu jamaa toka alipo anza kuvunja vioo jana maybe isinge fikia huku
kote. R.I.P mtoto na huyu kaka ambae amefanya mauwaji lakini imegundulika
kwamba alikuwa na matatizo ya akili.