Muda mchache baada ajali kutokea
Askari wa usalama wa barabarani wakiwa wamefika eneo la tukio na baadhi ya Mashuhuda wakishuhudia ajali hiyo
Basi la Hood limepata ajali asubuhi hii likitoka Mbeya haijafahamika mara
moja lilikuwa linaelekea wapi na haijafahamika kama kuna watu
waliojeruhiwa.
Credit: Mbeya yetu Blog
No comments:
Post a Comment