T.I atafanya makamuzi pamoja na wakali wengine watakaokuwa kwenye listi ya kutoa burudani Oktoba 18, mwaka huu.Staa
huyo mwenye albamu nane ambazo ni I'm Serious, Trap Muzik, Urban
Legend, King, T.I. vs. T.I.P., Paper Trail, No Mercy na Trouble Man:
Heavy Is the× Head ambapo nyingi kati yake zimefanya vizuri sana katika soko la muziki.T.I ameshinda tuzo tatu za× Grammy tangu aanze safari yake ya muziki.
T.I atafanya makamuzi pamoja na wakali wengine watakaokuwa kwenye listi ya kutoa burudani Oktoba 18, mwaka huu.
Staa huyo mwenye
albamu nane ambazo ni I'm Serious, Trap Muzik, Urban Legend, King, T.I.
vs. T.I.P., Paper Trail, No Mercy na Trouble Man: Heavy Is the× Head ambapo nyingi kati yake zimefanya vizuri sana katika soko la muziki.
T.I ameshinda tuzo tatu za× Grammy tangu aanze safari yake ya muziki.
Baadhi ya singo kali
alizoachia mkali huyo na kufanya vyema ni "Bring Em Out", "What You
Know", "Big Shit Poppin' (Do It)", "Swagga Like Us" (FT Kanye West,
Jay-Z na Lil Wayne), "Dead and Gone" (FT Justin Timberlake), "Ball" (FT
Lil Wayne) na "No Mediocre" (FT Iggy Azalea).
No comments:
Post a Comment