ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Monday, October 13, 2014

MWANAMKE WA AJABU,ANAZUNGUSHA MWILI KAMA KAMBA, ANAKULA KWA MIGUU, ANATEMBEA KWA MIKONO. (VIDEO)


 Kwa jina unaweza muita Leilani Franco(Backbend)  ana uraia wa nchi mbili (Uingereza / Philippines) alisafiri katika nafasi umbali wa 20m  katika muda wadk  10.05  katika  tamasha la Royal Hall mjini London Uingereza, tarehe 11 Machi 2013.
  Backbend binadamu ambaye ana uwezo wa kutembealea mikono na miguu kwa umbali mrefu.
 Pia kama inavyodhaniwa kwa kawaida× Mtu anaweza tumia mikono kwa kulia chakula na kufanya shughuli nyingine,


 lakini kwa mwanamke huyu imekuwa ni tofauti kabisa,× Mwanamke huyu ana uwezo wa kutumia miguu yake  katika shughuli zake binafsi kama× Kula na kadhalika.....
 Hatimaye, Leilani pia anashikilia rekodi ya Dunia kutokana na uwezo wake katika kuuzungusha  Mwili wake.
 
 

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...