Mwenyekiti wa
Bunge maalum la katiba Mhe.Samuel Sitta akikabidhi rasimu ya katiba
inayopendekezwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya
Mrisho kikwete na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt.
Mohamed Ali Shein katika hafla iliyofanyika katika uwanja wa michezo wa
Jamhuri mjini Dodoma leo.
Rais
jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar, Dk. Alli Mohamed Shein wakionesha
Katiba hiyo iliyopendekezwa na Bunge Maalum la Mabadiliko ya Katiba.
No comments:
Post a Comment