ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Saturday, October 18, 2014

YANGA NA SIMBA HAKUNA MBABE



Askari wa Farasi kutoka Kikosi cha FFU wakiwa katika doria kabla ya kuanza mchezo.  (Picha na Francis Dande)
Beki wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ (kulia), akipambana na mshambuliji wa Simba, Elius Maguri (katikati) huku Kelvin Yondani wa Yanga akiwa tayari kutoa msaada wakati wa mchezo namba 27 wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare ya bila kufungana.


Kipa wa Yanga Deogratias Munishi akiokoa mpira.
Mshambuliaji wa Simba, Elius Maguri akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Yanga, Oscar Joshua (kulia). 
 Kocha wa Simba, Patrick Phir akiingia uwanjani.
Shabiki wa Simba.
Mashabiki wa Yanga.
Kocha wa Yanga, Marcio Maximo akiingia Uwanjani.
Waamuzi wa mchezo huo.
 Mashabiki wa Simba wakimpa fedha kipa wa Simba, Manyika Peter baada ya kuokoa hatari nyingi langoni mwake. 

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...