Waziri wa Ujenzi Dkt.
John Magufuli kushoto akimuonesha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said
Meck Sadiki Meli kubwa ya mizigo iliyobeba Kivuko kipya cha MV Dar es
Salaam ilipokuwa inakaribia kutia nanga katika bandari ya Dar es Salaam.
Taaswira ya Kivuko
cha MV Dar es Salaam kama kinavyoonekana juu ya Meli kabla ya kushushwa
majini katika bandari ya Dar es Salaam.
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akionesha furaha yake ndani ya Kivuko hicho cha MV Dar es Salaam.
Waziri wa Ujenzi Dkt.
John Magufuli kulia akimpongeza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Huduma za
Ufundi na Umeme (TEMESA) Eng. Marcellin Magesa kwa kazi nzuri ya
upatikanaji wa Kivuko hicho kipya na cha kisasa cha MV Dar es Salaam.
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akiwa ndani ya chumba cha Nahodha wa Kivuko hicho.
Mhandisi Masele akitoa maelezo kuhusu kamera maalumu kwenye Kivuko hicho.
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akikagua boya la kujiokolea ndani ya siti mojawapo ndani ya Kivuko hicho kipya.
Mkuu wa Mkoa wa Dar
es Salaam Said Meck Sadiki wakwanza kushoto akiwa na Waziri wa Ujenzi
Dkt. John Magufuli, Mtendaji Mkuu wa TEMESA Eng. Marcellin Magesa pamoja
na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Mussa Iyombe wakiteta jambo
kabla ya kuwasili kwa kivuko hicho kipya .
Waziri wa Ujenzi
akishuka kwenye ngazi mara baada ya ukaguzi huo.Picha zote kwa Hisani ya
Kitengo cha Mawasiliano Serikalini (GCU) Wizara ya Ujenzi.
No comments:
Post a Comment