
Wahitimu wa kidato cha sita mwaka 2014 na kidato cha nne mwaka 2013 waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Polisi baada ya usaili kukamilika
Maelekezo Muhimu.
Wahitimu wa kidato cha sita mwaka 2014, kidato cha nne mwaka 2013 na JKT Mafinga, Mlale, Ruvu, Mgambo, Bulombola, Kanembwa, Itende, Nachingwea, Mbweni, Maramba, Chita, Makutupola, Mtabila, Msange, Mgulani, Oljoro, Rwankoma na Kimbiji wamechaguliwa kujiunga na mafunzo ya awali ya Jeshi la Polisi.
Wahitimu hawa
waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti tarehe 28/11/2014 kwa Makamanda wa
Polisi wa Mikoa kama ilivyooneshwa kwenye jedwali hapa chini ili
waandaliwe usafiri wa kuwapeleka Shule ya Polisi Tanzania tarehe
30/11/2014.
Zoezi la usajili
litaanza shuleni hapo tarehe 01/12/2014 hadi tarehe 15/12/2014.
Atakaefika kuanzia tarehe 16/12/2014 hatapokelewa.
Atakaeamua kuripoti kwa Kamanda wa Polisi ambako hakupangiwa atalazimika kujigharimia usafiri hadi Shule ya Polisi Tanzania mjini Moshi.
Vyeti vyao vyote vya
masomo( original Academic Certificates/Result slip pamoja na Leaving
certificates) kidato cha Nne/Sita, Vyeti vya kuzaliwa (Original Birth
certificates). Hati ya kiapo cha kuzaliwa haitakubalika.
Atakaeamua kuripoti kwa Kamanda wa Polisi ambako hakupangiwa atalazimika kujigharimia usafiri hadi Shule ya Polisi Tanzania mjini Moshi.
Vijana hawa watalazimika kufika shuleni wakiwa na mahitaji yafuatayo:
No comments:
Post a Comment