ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Friday, November 7, 2014

MTANGAZAJI ALIZWA GARI USIKU


 MTANGAZAJI wa zamani wa Redio Clouds FM ambaye sasa ni ripota wa Redio Deutsche Welle ya Ujerumani, George Njogopa ameporwa gari usiku wa kuamkia Jumatatu iliyopita maeneo ya Maryland Bar, Mwenge jijini Dar.
MTANGAZAJI wa zamani wa Redio Clouds FM ambaye sasa ni ripota wa Redio Deutsche Welle ya Ujerumani, George Njogopa ameporwa gari usiku wa kuamkia Jumatatu iliyopita maeneo ya Maryland Bar, Mwenge jijini Dar.Mtangazaji wa zamani wa Redio Clouds FM ambaye sasa ni ripota wa Redio Deutsche Welle ya Ujerumani, George Njogopa akiwa Rais Jakaya Kikwete.


Kwa mujibu wa chanzo, mtangazaji huyo alikuwa na mwanamke ambaye anadaiwa kuhusishwa kuongoza tukio zima la wizi huo wa gari aina ya Spacio New Model lakini mwenyewe amekanusha.” Sikuwa na mwanamke, walionipora walinivamia na kunitupa maeneo ya Maryland, tayari nimeshafungua jalada katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay kwa uchunguzi zaidi,” alisema Njogopa.
CHANZO GPL

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...