Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea risala toka kwa Mwenyekiti wa
Wazee wa Mkoa wa Dodoma Balozi Job Lusinde wakati wa mkutano na wazee wa mji wa Dodoma November 4, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.
Wazee wa Mkoa wa Dodoma Balozi Job Lusinde wakati wa mkutano na wazee wa mji wa Dodoma November 4, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wazee wa mji wa Dodoma jana
November 4, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya
maendeleo.
November 4, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya
maendeleo.

Sehemu
ya wazee wakati wa mkutano wao na Rais Kikwete mjini Dodoma November 4,
2014 waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.Picha
na Ikulu
No comments:
Post a Comment