DIAMOND AUNGANA NA WASANII BARANI AFRIKA KUREKODI WIMBO WA KUPINGA UGONJWA WA EBOLA
Diamond Platnumz ni miongoni mwa wasanii wa
Afrika watakaosikika kwenye wimbo wa pamoja wa kampeni ya kupinga ugonjwa wa
Ebola ‘Africa Against Ebola’ wasanii walioshiriki katika kampeni hiyo akiwemo,
Iyanya, Donald,Banky W,Kcee,Mafikizolo,Sean Tizzle na wengineo.
No comments:
Post a Comment