ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE

SOMA HABARI

SOMA HABARI

Sunday, December 14, 2014

IDRIS AFANYIWA BONGE LA SHEREHE NA MULTICHOICE JIJINI DAR

Mshindi wa Dola 300,000 za Big Brother Hotshots, Idris Sultan akiwa katika pozi na mshiriki mwenzake katika shindano hilo, Irene Vedastous 'Laveda' wakati wa sherehe hiyo.
Idris (katikati) akisaini autograph ya mmoja wa mashabiki wake. Kulia ni Laveda.…
Mshindi wa Dola 300,000 za Big Brother Hotshots, Idris Sultan akiwa katika pozi na mshiriki mwenzake katika shindano hilo, Irene Vedastous 'Laveda' wakati wa sherehe hiyo.
Idris (katikati) akisaini autograph ya mmoja wa mashabiki wake. Kulia ni Laveda.
Idris akiwa katika picha ya pamoja na wadau.
Idris akisalimiana na shabiki wake.
Jokate Mwegelo 'Kidoti' naye alikuwepo katika sherehe hiyo.
MSHINDI wa Big Brother Afrika Hotshots 2014, Idris Sultan, jana amefanyiwa sherehe kubwa na kampuni ya Multchoice iliyofanyika katika ukumbi wa High Spirit Lounge uliopo IT Plaza jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...