Mshindi wa Big
Brother 2014,Idris Sultan akizungumza na waandishi wa habari (hawapo
pichani) katika hoteli ya Hyatt Regency,Jijini Dar es salaam leo,wakati
akizungumzia ushindi wake na uzoefu alioupata katika Jumba hilo la Big
Brother huko nchini Afrika Kusini.Kulia ni Meneja Masoko wa Kampuni ya
MultiChoice Tanzania,Furaha Samalu na kushoto ni Meneja Uhusiano wa
Kampuni ya MultiChoice Tanzania,Barbara Kambogi.
Mshindi wa Big
Brother 2014,Idris Sultan akisisitiza jambo wakati akiongea na waandishi
wa habari (hawapo pichani) katika hoteli ya Hyatt Regency,Jijini Dar es
salaam leo.
Idris akizungumza.
Alikuwa Mshiriki mwenza wa Idris Sultan,Irene Laveda akizungumza machache kwenye Mkutano huo.
Meneja Uhusiano wa
Kampuni ya MultiChoice Tanzania,Barbara Kambogi akizungumza jambo wakati
wa Mkutano na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam leo.
Sehemu ya Waandishi
wa habari waliofika katika Hoteli ya Hyatt Regency kumsikiliza Mshindi
wa Big Brother 2014,Idris Sultan.







No comments:
Post a Comment