Prezida wa Wasafi
Diamond Platnumz akiwa pamoja na wacheza showa wake Roma Tonsa na Moses
Iyobo wakitoa burudani katika kunogesha sherehe ya miaka 53 ya Uhuru wa
Tanzania Bara iliyofanyika Sheraton Hotel ya Silver Spring, Maryland
nchini Marekani na kuhudhuriwa na mashabiki wake kutoka kila pembe ya
Marekani huku mashabiki wengine wakitokea Tanzania, Picha na Vijimabo
Blog
Mzuka unazidi kupanda Diamond Platnumz asaula koti lake.
Balozi akimshukuru
Diamond kwa kuwezesha kunogesha usiku wa Uhuru wa Tanzania na pia
aliwashukuru wadhamini wa sherehe hiyo ya moaka 53 ya Uhuru wa Tanzania
Bara.
Diamond akizidi kuwapa burudani mashabiki wake
Shabiki akicheza wimbo wa mdogo mdogo
Shabiki akijumuika na Diamond kwenye jukwaa.