Wazazi
wa Miss Tanzania 2O13, Happiness Watimanywa wakiongozwa na baba yake wa
Tatu kutoka kushoto pamoja na mama yake wa Tatu kutoka kulia wakiwa
wameambatana na wadogo wa Miss Tanzania 2O13 pamoja na marafiki wengine
wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere mchana wa jana
kuelekea Jijini London kwenye kilele cha mashindano ya Miss World 2O14
yakakayohitimishwa tarehe 14.12.2O14 ambapo mtoto wao Miss Tanzania
2O13, Happiness Watimanywa anaiwakilisha Tanzania.…
Wazazi
wa Miss Tanzania 2O13, Happiness Watimanywa wakiongozwa na baba yake wa
Tatu kutoka kushoto pamoja na mama yake wa Tatu kutoka kulia wakiwa
wameambatana na wadogo wa Miss Tanzania 2O13 pamoja na marafiki wengine
wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere mchana wa jana
kuelekea Jijini London kwenye kilele cha mashindano ya Miss World 2O14
yakakayohitimishwa tarehe 14.12.2O14 ambapo mtoto wao Miss Tanzania
2O13, Happiness Watimanywa anaiwakilisha Tanzania.
Wazazi
wa Miss Tanzania 2O13, Happiness Watimanywa wamewaomba watanzania
kumwombea na kuendelea kumpigia kura Miss Tanzania 2O13 katika
mashindano hayo Ili aweze kuiwakilisha Tanzania vema na kuibuka mshindi.
No comments:
Post a Comment