

Rais wa Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein akiwasili kwenye uwanja wa
Aman tayari maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar
jana Januari 12, 2015.

Rais wa Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein akipokea salamu za kijeshi
mara baada ya kuwasili kwenye uwanjwa wa Aman tayari maadhimisho ya
sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar jana Januari 12, 2015.

Rais
wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein akikagua
gwaride la vikosi mbali mbali vya kijeshi wakati wa maadhimisho ya
sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar,yaliyofanyika jana Januari
12, 2015 kwenye uwanja wa Amani,Zanzibar.

Rais wa Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein akihutubia wananchi wakati
wa maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi ya
Zanzibar,yaliyofanyika jana Januari 12, 2015 kwenye uwanja wa
Amani,Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania,Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Rais wa
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein kwa hotuba yake
nzuri aliyoitoa kwenye maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi
ya Zanzibar,yaliyofanyika jana Januari 12, 2015 kwenye uwanja wa
Amani,Zanzibar.
No comments:
Post a Comment