
Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe
akizungumza na vijana wa ulinzi wa chama hicho maarufu kama Red Brigade,
(RB), kutoka Kanda ya Kati ya Mikoa ya Dodoma na Singida kwenye makao
makuu ya chama hicho mjini Dodoma leo Jumatatu Februari 9, 2015. Vijana
hao hutumika kulinda viongozi, mali za chama na kwenye mikutano ya
hadhara na ile ya ndani ya chama.

Mbowe wakati akizungumza na Red Brigade
No comments:
Post a Comment