Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Amina
Masenza baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Nduli kuanza ziara
ya kikazi mkoani Iringa Februari 18, 2015
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akitazama ngoma ya kikundi cha Mangala baada ya
kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Nduli kuanza ziara ya kikazi mkoani
Iringa Februari 18, 2015.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na viongozi wa mkoa wa Iringa baada ya
kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Nduli kuanza ziara ya kikazi mkoan
Iringa Februari 18, 2015.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akikagua maabara ya Chuo Kukuu Kishiriki cha Elimu
Mkwawa wakati alipotembelea Chuo hicho akiwa katika ziara ya mkoa wa
Iringa Februari 18, 2015. Kulia ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es
salaam, Profesa Rwekaza Mkadala.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akimsikiliza Mtalaamu wa Mifumo ya computer wa Chuo
Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa, Ibrahimu Mwahu wakati alipokagua
maabara ya chuo hicho akiwa katika zaiara ya mkoa wa Iringa Febtuari 18,
2015. Kulia kwake ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dr. Shukuru
Kawambwa.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na viongozi wa mkoa wa Iringa baada ya
kupokea taarifa ya mkoa wa Iringa kwenye ikulu ya Iringa Februari 18,
2015. Kushoto ni Mkuu wamkoa wa Iinga , Amina Masenza. Mheshimiwa Pinda
yuko katika ziara ya kikazi mkoani Mbeya.
Badhi ya
viongozi wa mkoawa Iringa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
wakati alipozungumza nao Februari 18, 2015 akiwa katika ziara mkoa wa
Iringa Februari 18, 2015.
No comments:
Post a Comment