Rais wa
oganaizesheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBO Yassini Abdalla kushoto
akisalimiana na bondia Wang Xin Hua kutoka China mara baada ya kuwasili
katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam jana
kwa ajili ya mpambano wake na mohamed Matumla utakaofanyika march 27
katika ukumbi wa diamond jubilee katikati ni Rais wa ngumi za kulipwa
nchini PST Emanuel Mlundwa na kulia ni promota wa mpambano uho Jay
Msangi.
Rais wa
oganaizesheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBO Yassini Abdalla kushoto
akisalimiana na bondia Wang Xin Hua kutoka China mara baada ya kuwasili
katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam jana
kwa ajili ya mpambano wake na mohamed Matumla utakaofanyika march 27
katika ukumbi wa diamond jubilee katikati ni Rais wa ngumi za kulipwa
nchini PST Emanuel Mlundwa.
bondia Wang Xin Hua kutoka China
Bondia Wang Xin Hua kutoka China akilakiwa na mwenyeji wake Rais wa ngumi za kulipwa nchini PST Emanuel Mlundwa
No comments:
Post a Comment