Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti,
Mchungaji, George Fupe, ambaye ni mmoja kati ya waanzilishi wa benki
hiyo na wahamasishaji kwa watu kununua shea katika benki hiyo, ambapo
walifanikiwa kupata jumla ya Sh. Bilioni 4.5. Makamu alikabidhi vyeti
hivyo wakati wa hafla ya uzinduzi rasmi wa benki hiyo iliyopo jijini Dar
es Salaam, Nov 12, 2013. Kulia ni Askofu Mkuu wa Kanisa la KKKT, Dkt.
Alex Malasusa.
ADV
SOMA HABARI
Showing posts with label MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA RASMI BENKI YA MAENDELEO PLC. Show all posts
Showing posts with label MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA RASMI BENKI YA MAENDELEO PLC. Show all posts
Tuesday, November 12, 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)
