Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed
Shein na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana baada ya kuwasili
ukumbini kuendesha Kikao Maalum Cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM,
mjini Dodoma leo, Feb 16, 2014. (Picxha zote na Bashir Nkoromo)