ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI
Showing posts with label SIMBA WAPATAKOCHA MPYA NI LOGARUSIC WA CROATIA. Show all posts
Showing posts with label SIMBA WAPATAKOCHA MPYA NI LOGARUSIC WA CROATIA. Show all posts

Tuesday, November 19, 2013

SIMBA WAPATAKOCHA MPYA NI LOGARUSIC WA CROATIA

Zdravko Logarusic raia wa Croatia.
Baada ya kuwatimua makocha wake, Abdallah Kibadeni na msaidizi wake, Jamhuri Kiwhelo ‘Julio’, Simba sasa imemchukua kocha Zdravko Logarusic raia wa Croatia.
Tayari Simba imemaliza mazungumza na kocha huyo na anatarajia kutua nchini hivi karibuni kwa ajili ya kusaini mkataba na mara moja kuanza kazi.Kabla ya hapo, Logarusic alikuwa kocha wa Gor Mahia ya Kenya aliyoifundisha kwa misimu miwili akisha nafasi ya pili.Msimu huu ulikuwa wa mwisho, lakini aliondoka katikati na nafasi yake kuchukuliwa na Bobby Williamson ambaye kuna gazeti liliandika anajiunga na Simba, kitu ambacho hakikuwa sahihi.Baadaye Bobby alikanusha kuwa amefanya mazungumzo na Simba na ataendelea kubaki Kenya.CHANZO GPL
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...