Kimbunga hiki kimekuja wiki moja tu baada ya kimbunga kingine kilichopita maeneo hayo ya Oklahoma na Kansas na kuacha uharibifu mkubwa pamoja na kuuwa wazee wawili na kujeruhi watu 39. Hata hivyo, Jiji la Oklahoma lipo katika mkondo wa vimbunga kwani vimekuwa vikitokea mara kwa mara kwani mwaka 1999 kimbunga kama hiki kiliuwa watu 36
ADV
SOMA HABARI
Showing posts with label United States of America.. Show all posts

Tuesday, May 21, 2013
Watu 91 wafa kwa kimbunga usiku wa leo huko Oklahoma Marekani
Kimbunga hiki kimekuja wiki moja tu baada ya kimbunga kingine kilichopita maeneo hayo ya Oklahoma na Kansas na kuacha uharibifu mkubwa pamoja na kuuwa wazee wawili na kujeruhi watu 39. Hata hivyo, Jiji la Oklahoma lipo katika mkondo wa vimbunga kwani vimekuwa vikitokea mara kwa mara kwani mwaka 1999 kimbunga kama hiki kiliuwa watu 36
Subscribe to:
Posts (Atom)