Mkuu wa mkoa wa NjombeKaptain Mstaafu Asseri Msangi katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi.
Mkuu
wa mkoa wa Njombe Kaptain Mstaafu Asseri Msangi (aliyekaa wa pili
kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi Hassan Majaar Trust Bi. Zena
Maajar Tenga (waliosimama wa pili kushoto) na Mwakilishi kutoka Kampuni
ya Tigo pamoja na baadhi ya Walimu na Wanafunzi wakiwa katika picha ya
ukumbusho.
Wanafunzi
wakionyesha furaha baada ya kuboreshewa mazingira ya kusoma na Taasisi
ya Hassan Maajar Trust ambayo lengo lake ni kutatua tatizo la Madawati
nchini na kuhakikisha kauli mbiu yao ya “Dawati kwa kila mwanafunzi”
inatimia.
No comments:
Post a Comment