Gari la Polisi la pili ambalo liliwachukuwa Viongozi wa
Jumuiya ya UAMSHO ambao walishitakiwa kwa makosa ya kufanya fujo na
uchochezi likiwa linasindikizwa na magari ya Polisi kuja Mahakama ya
Wilaya ya Mwanakwerekwe.
Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia wakiwa wanaimarisha
usalama katika eneo la Mahakama ya Wilaya Mwanakwerekwe ambapo Viongozi
wa Jumuiya ya UAMSHO walifikishwa
Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia wakiwa wanaimarisha
usalama katika eneo la Mahakama ya Wilaya Mwanakwerekwe ambapo Viongozi
wa Jumuiya ya UAMSHO walipelekwa kwenda kusomewa mashitaka yao.
Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia wakiwa wanaimarisha
usalama katika eneo la Mahakama ya Wilaya Mwanakwerekwe ambapo Viongozi
wa Jumuiya ya UAMSHO walifikishwa leo
Kiongozi wa Jumuiya ya UAMSHO Shekh Farid Hadi Ahmed akishuka
kwenye gari la Polisi kuelekea Mahakama ya Mwanakwerekwe kwenda
kusomewa mashtaka yao yanayomkabili ikiwemo kusababisha fujo na
uchochezi.
Mmoja
kati ya Viongozi wa UAMSHO Shekh Azan Khalid Hamdan (43) akishuka
kwenye gari la Polisi kuelekea Mahakamani Mwanakwerekwe kwenda kusomewa
mashtaka yao.
No comments:
Post a Comment