ya Umma unafuatwa na kutafanyika zoezi rasmi la kurejesha usajili wa magari yote.Serikali imetoa muda hadi kufikia Novemba 15,2012 magari ya Umma yaliyo na namba za kiraia, yarejeshwe namba stahiki za magari ya Umma . Baada ya hapo Operesheni hiyo iitakamata magari, pikipiki, bajaj na mitambo ya umma,Vilevle kutakuwa na aina ya namba za usajili zitakazotumika kama ST, PT, MT,JW, DFP, CW, SM na ,SU.Hadi sasa serikali imesajili vyombo vya moto,123,431 yakiwemo magari,,pikipiki,bajaj na mitambo ya umma (pichani anaefuatia mwenye sare za polisi) ni Mkuu wa kikosi cha Usalama barabarani katika jeshi la Polisi nchini Kamanda James Mpinga). (Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO).
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akiteta jambo na mkuu wa kikosi cha usalama barabarani James Mpinga ili magari
ya umma yaliyo na namba za kiraia yarejeshwe kwenye namba stahiki za
magari ya Umma kabla ya oparesheni ya kamatakamata kuanza. (Picha na
Mwanakombo Jumaa- MAELEZO)
No comments:
Post a Comment