Kigogo
 wa zamani na bingwa katika fani ya mchezo wa mieleka Hulk Hogan ameamua
 kuchukua hatua za kisheria kufuatia kanda yake aliyorekodiwa alipokuwa 
akifanya mapenzi na mke wa rafiki yake kipenzi kurushwa ‘live’ kwenye 
mtandao.
Hogan
 amedai alifanya kitendo hicho kwa idhini na Heather Clem takriban miaka
 6 iliyopita katika nyumba mwanamke huyo aliyokua akiishi na mumewe 
Todd, lakini hakujua alikuwa akirekodiwa kwa siri.
Sasa
 Hogan anadai Paundi 620,000 sawa na takriban dola milioni 100 kwa 
kampuni moja ya habari yenye makazi yake jijini New York ambayo hata 
hivyo imeguna kusema lolote kuhusiana na ishu hiyo.


No comments:
Post a Comment