KIM-JONG-UN KIONGOZI WA KOREA YA KASKAZINI ALIYEANZA KWA UKATILI WA KUOINDUKIA
MOTOR SQUAD: BOMU LILILOTUMIKA KUMWANGAMIZA WARIRI WA ULINZI WA KOREA YA KASKAZINI
RAIS WA KOREA YA KASKAZINI KIM-JONG-UN 1 MWENYE UMRI WA MIAKA 28 ALEYEAGIZA WAPINZANI WAKE WAUWAWE KINYAMA HADI MFUPA USIONEKANE.
WAZIRI WA ULINZI WA KOREA YA KASKAZINI ENZI ZA UHAI WAKE
KIM JONG UN AKIWA NA KIM CHOL KWENYE MAONYESHO YA KIJESHI
RAIS AKIWA NA MAJEMEDARI WAKE
KIM CHOL AKIWA NA BABA WA RAIS WA SASA KABLA HAJAFARIKI
KIM CHOL AKIWA NA RAIS MPYA KIM JONG UN 1
KIM CHO NA MWENZAKE WAKIPOKEA MAAGIZO TOKA KWA RAIS
HUYU NI FIELD MARCHAL RI YONG HO PIA ALIUWAWA
FIELD MARSHAL RI YONG HO AKIWA NA RAIS MWEZI WA SEPTEMBER KABLA HAJAKAMATWA NA KUUWAWA
GAVANA WA BENK KUU Ri
Kwang-gon naye ameuwawa
Chol Kim, kaimu
waziri wa ulinzi wa Korea ya Kaskazini aliwekwa kizuizini mapema mwaka huu kwa
amri wa kiongozi wa nchi Kim Jong – un 1 aliyeshika madaraka baada ya kifo cha
baba yake December mwaka jana.
Kwa amri ya
Kiongozi huyo wa Taifa la Kikomunist la Korea ya kaskazini, naibu waziri huyo
alitakiwa auwawe kuanzia unywele hadi ukucha kwa kosa la kunywa pombe wakati wa
maombolezo ya kifo cha baba yake. Chol Kim alilazimishwa kusimama katika duara
dogo la na kulipuliwa na mabomu hadi kufa.
Utekelezaji wa
hukumu ya kifo wa Kim Chol ni mfano
mmoja tu wa mauaji ya wanachama wa
kijeshi wa Korea Kaskazini ambao wanaonekana kupingana na Kim Jong Un
Hadi sasa mwaka
huu, maofisa waandamizi 14 wameuwawa, kulingana na takwimu zilizotolewa na Yoon
Sang-hyun, wa Korea Kusini anayehusika na Mambo ya Nje, Biashara na kamati ya
mwafaka.Wale waliouwawa ni pamoja na Ri Yong-ho, mkuu wa jeshi na Ri Kwang-gon,
mkuu wa mkoa wa Kaskazini wa benk kuu.
Wachambuzi wa mambo unaonyesha kwamba Mr Kim, ambaye alichukua madaraka kama mkuu wa nchi baada ya kifo cha baba yake mwishoni mwa mwaka jana, ni katika kuimarisha uwezo wake kiutawala na kuzuia wapinzani wanaoudharau ujana na ulimbukeni wake. Kim anaaminiwa kuwa na miaka kati ya 20 na 29.
Imetafsiriwa na Richard Bahati wa goldentz.blogspot.com
No comments:
Post a Comment