Msafara wa uliobeba Aliyekuwa Kamanda wa
polisi mkoa wa Mwanza, Liberatus Lyimo Barlow ukiiingia kijijini kwao
Kilema-Kyou,Wilaya ya Moshi Vijini Mkoani Kilimanjaro siku ya Jumatano,
Oktoba 17, 2012 tayari kwa mazishi
Mkuu wa jeshi la polisi nchini IGP Said
Mwema akiingia kijijini kwa marehemu Aliyekuwa Kamanda wa polisi mkoa wa
Mwanza, Liberatus Lyimo BarlowKilema-Kyou,Wilaya ya Moshi Vijini Mkoani
Kilimanjaro siku ya Jumatano, Oktoba 17, 2012 tayari kwa mazishi
Naibu waziri wa Mambo ya Ndani Pereira Silima akiwasili kwenye mazishi
Mkuu wa mkoa wa kilimanjaro Laordinas Gama akiwasili kwenye mazishi
Mwili wa Aliyekuwa Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza, Liberatus Lyimo Barlow ukishushwa kwenye gari
Aliyekuwa Kamanda wa polisi mkoa wa
Mwanza, Liberatus Lyimo Barlow ukiwa umebebwa na maofisa wandamizi wa
jeshi la polisi kuelekea kwenye mazishi
Aliyekuwa Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza, Liberatus Lyimo Barlow
Mkuu wa Jeshi la polisi nchini IGP Said Mwema akitoa heshima zake za mwisho
Naibu waziri wa Mambo ya Ndani Pereira Silimaakitoa heshima zake za mwisho
Sehemu ya umati mkubwa wa wananchi
ukitoa heshima zao za mwisho kwa Aliyekuwa Kamanda wa polisi mkoa wa
Mwanza, Liberatus Lyimo Barlow
Mke wa Marehemu akilia kwa uchungu
Mwili wa Aliyekuwa Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza, Liberatus Lyimo Barlow ukishushwa kaburini
Mkuu wa jeshi la polisi nchini IGP Said
Mwema akiweka shada la maua kwenye kaburi la Aliyekuwa Kamanda wa polisi
mkoa wa Mwanza, Liberatus Lyimo Barlow
Naibu waziri wa Mambo ya Ndani Pereira
Silima akiwasili kwenye mazishi akiweka shada la maua kwenye kaburi la
Aliyekuwa Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza, Liberatus Lyimo Barlow
Askari
wa Jeshi la polisi wakito heshima zao za Mwisho kwa Aliyekuwa Kamanda
wa polisi mkoa wa Mwanza, Liberatus Lyimo Barlow.Picha zote na Mdau
Ahmed Michuzi
No comments:
Post a Comment