Pichani
juu ni taswira mbalimbali za jitihada za kujaribu kuzima moto huo
uliounguza ukumbi wa mikutano wa Shule ya Msingi Lugalo muda huu.
UKUMBI wa mikutano wa Shule
ya Msingi Lugalo jijini Dar es Salaam muda huu imeungua moto chanzo
kikisemekana kuwa ni hitilafu ya umeme shuleni hapo.
(PICHA NA ERICK EVARIST / GPL)
SOURCE: GLOBAL PUBLISHERS
No comments:
Post a Comment