
Tumeshuhudia kila baada ya muda hoteli zetu kubwa za kitalii jiji Dar es Salaam zikibadilika majina.
Tunafurahi kwa sababu huduma ni za Viwango vinavyostahili.
Ila hoja yetu wanyonge hatujui utaratibu wa kubadilika majina na kama imewekezwa ni kwa faida ya nani?
Sina
haja ya kutaja majina ila kuna baadhi hoteli tangu mwanzo jina ni lile
lile; sasa hizi kubwa ambazo wateja wake ndio wale wale kulikoni?
Wadau tufahamisheni…!
No comments:
Post a Comment