ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Wednesday, October 10, 2012

Usiku wa wendawazimu


Washiriki wakijiandaa kwa mashindano ya kula mende na wadudu wengine watambaao siku ya Usiku wa wendawazimu













Jongoo walioandaliwa tayari kwa kuliwa
















Edward Archbold akitafuna kwa haraka mende, ng'e na wadudu wengine
Jongoo walionona wanaliwa wakiwa hai kabisa
















Watoto wa Mende wao no kitoweo wakati wa mashindano ya kula wadudu hao wakiwa hai


















Edward Archbold akisikilizia tumboni baada ya kula wadudu wengi na kuwashinda washiriki wengine 30


Katapila kama wanavyoonekana hapa nao walikuwa kwenye mashindano ya kuliwa wakiwa hai kabisa















Ng'e na nyoka aina ya chatu ndiyo walikuwa kilele cha mashindano hayo










































Edward Archbold akiwa hoi baada ya kushinda kula wadudu hao














Edward Archbold alitangazwa kufariki muda mfupi baadaye















Hapa ni maandalizi ya mazishi yake



.
Raia mmoja wa Marekani mwenye umri wa miaka 32 amekufa Ijumaa iliyopita baada ya kula mende, ng’e, chatu, jongoo na wadudu wengine watambaao wakiwa hai. Kifo chake kilitokea muda mfupi maada ya kutangazwa mshindi wa shindano hilo la aina yake duniani.
EDWARD Archbold alikuwa kati wa washindani wengine 20 na 30 waliokuwa nanashindania kula wadudu hao watamaao shindano lililofdanyika huko Deerfield Beach Miami Marekani siku iliyobatizwa jina la “USIKU WA WENDAWAZIMU”
Ben Siegel ni mmiliki wa mgahawa ambamo shindano hilo hufanyika na alisema washiriki walikuwa wakishindania kupata kitita cha dola za kimarekani 850 na Archhold aliibuka mshindi  lakini baadaye alianza kutapika na simu ya 911 ilipigwa kwa msaada. Alikimbizwa katika kituo cha afya cha North Broward Medical Center ambapo madaktari walimtangaza kuwa amefariki. Siegel anamwelezea Archhold kuwa alikwa ndiye uhai wa chama na aliwafurahisha sana mashabiki. Hata hivyo Edward hakuonekana kuwa na tatizo lolote la kiafya. Madaktari wanachunguza ili kubaini ni nini chanzo cha kifo chake. (Usiinge, ni hatari)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...