Mmoja wa wananfunzi akionyesha bomu la kutoa machozi
Sehemu ya Umati wa Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kimnyaki iliyopo wilayani Arumeru Mkoa wa
Arusha.
Kamanda wa Operesheni Maalumwa Jeshi la Polisi, Peter Mvulla akiwa
ameshika bomu la kutoa machozi aloilolichukua kutoka kwa mmoja wa
wanafuzi wa Shule ya Sekondari Kimnyaki iliyopo wilayani Arumeru Mkoa wa
Arusha. Bomu hilo lilirushwa kwa wanafunzi hao na askari wa Kikosi cha
Kutuliza Ghasia (FFU) bila ya kulipuka na kuwaepusha na madhara ambayo
yangeweza kutokea.Picha na Grace Macha
No comments:
Post a Comment