
Wema
Sepetu (katikati) akizungumza na wanahabari katika ukimbi wa habari
maelezo jijini Dar kwa nia ya kuomba radhi kwa watanzania kwa niaba yake
na msanii mwenzake Ant Ezekiel kuhusiana na tukio la wao kupigwa picha
zilizowaonyesha nusu uchi wakati wakijiachia katika Tamasha la
Serengeti Fiesta lilipofanyika mkoani Dodoma. Kulia ni Msanii wa Bongo
Movie Ant Ezekiel na kushoto Katibu Mkuu wa TAFF Wilson Makubi.
Wema Sepetu Mbele ya kamera ya MO Blog akiomba radhi na kusema watanzania “ Kiukweli hatujafurahia na tumeumia sana” na tunatumia fursa hii kuomba Msamaha.

Moja
ya picha ya Msanii Aunty Ezekiel iliyosamba kwenye mitandao ya Kijamii
hivi karibuni wakati wa tamasha la Serengeti Fiesta 2012.
No comments:
Post a Comment