Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwasili kwenye ukumbi
wa Kizota, Dodoma, akifuatana na viongozi wengine wa ngazi ya Juu wa
CCM. Kulia ni Makamu Mwenyekiyi wa CCM (Zanzibar), Karume, Makamu wa
Rais Dk.Gharib Bilal na kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama na
Makamu Mweneyekiti wa CCM (Bara) Pius Msekwa.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiongoza Mkutano Mkuu wa
CCM leo Novemba 12. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar)
Amani Abeid Karume na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Pius
Msekwa
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi, Nape
Nnauye akielekezwa jambo na Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete,
kabla ya kuanza mkutano mkuu wa CCM, Kizota, Dodoma, leo, Nobemba 12,
2012. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Pius Msekwa.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi, Nape
Nnauye akielekezwa jambo na Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete,
kabla ya kuanza mkutano mkuu wa CCM, Kizota, Dodoma, leo, Nobemba 12,
2012. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Pius Msekwa.
Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akisoma Taarifa ya Chama
kwenye mkutano mkuu wa CCM, Kizota, Dodoma, leo, NOV 12, 2012
Baadhi ya wajumbe wakiwa kwenye mkutano huo leo. Kushoto ni Waziri wa Ujenzi, John Magufuli.
Makamu wa Pili wa Rais, Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, akisoma
taarifa ya utelekezaji wa ilani ya Chama.
Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akisoma Taarifa ya Chama kwenye
mkutano mkuu wa CCM, Kizota, Dodoma, leo, NOV 12, 2012
Waasisi wa Tanu na baadaye CCM, Mwadawa Ali (85) na Mohammed
Makber (72) wakisoma gazeti ya UHURU la Chama Cha Mapinduzi, kabla ya
mkutano kuanza. leo.
Khadija Kopa (kushoto) akiimba wakati TOT ilipotumbuiza kwenye mkutano huo.Picha Zote na Bashir Nkromo -Dodoma
No comments:
Post a Comment