
Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akizungumza na Mwenyekiti wa chama cha KANU Mhe Gideon
Moi aliyemtembelea Novemba 29, 2012 katika hoteli ya Nairobi Serena
jijini Nairobi.
Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akimsindikiza Mwenyekiti wa chama cha KANU Mhe Gideon Moi
aliyemtembelea na kufanya naye mazungumzo Novemba 29, 2012 katika
hoteli ya Nairobi Serena jijini Nairobi.

Godeon Moi ambaye ni mtoto wa Rais Mstaafu daniel Arap Moi akiwa kwenye mashindano ya Farasi


Gideon Moi akitawazwa kuwa kiongozi wa kimila wa Kalenjin
No comments:
Post a Comment