ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Friday, November 30, 2012

WAZIRI MKUU MIZENGO Pinda ashiriki Mazishi ya Mke wa Hamad Rashid.



Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA na Kiongozi wa Upizani Bungeni, Freeman Mbowe katika mazishi ya Kisa Gwalugano Mohamed,Mke wa  Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam Novemba 29,2012.(Pich na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na  Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Sharif Hamad katika mazishi ya Kisa Gwalugano hamad, Mke wa Mbunge wa Wawi yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam Novemba 29,2012. Kushoto ni Waziri Mkuu Mstaafu, Salim Ahmed Salim na Wapili kulia ni Waziri  wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi.

Waziri  Mkuu, Mizengo pinda akisalimiana na Mwenyekiti wa CUF, Prof.Ibrahim Lipumba  katika mazishi ya Kisa Gwalugano Hamad , mke wa mbunge wa Wawi, Hamad Rashid yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam Novemba 29,2012.Kushoto ni Waziri Mkuu Mstaafu, Salim Ahmed Salim, Wanne kulia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Sharif hamad Watatu kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Mh. William Lukuvi na kulia ni Kiongozi wa Upinzani Bungeni,Mh. Freeman Mbowe.
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiwa na baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa  na serikali katika mazishi ya Kisa Gwalugano Mohamed, mke wa Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam Novemba  29,2012. Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa UDP, John Cheyo,Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, Waziri Mkuu Mstaafu, Salim Ahmed Salim, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Sharif Hamad, Waziri wa Nchi Ofisi yaWaziri Mkuu, William Lukuvi na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe.
Viongozi wa Serikali, Ndugu, Jamaa na Marafiki wakishiriki mazishi ya mke wa Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda  na viongozi wa vyama vya siasa  na serikali wakimfariji, Mbunge wa Wawi, Hamd Rashid (wapili kulia) katika mazishi ya mkewe, Kisa Gwalugano Mohamed yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam, Novemba 29,2012. Kushoto ni mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...