ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Tuesday, December 18, 2012

Habari kutoka ITV:Mkazi wa kijiji cha Old Shinyanga katika manispaa ya Shinyanga aliyetambulika kwa jina la Shija Machiya amesababisha Tafrani miongoni mwa wakazi wa mji huo baada ya kukwea nguzo ya umeme ya gridi ya taifa yenye msongo wa Kilovolta 220 na kukaa juu kwa muda wa takribani saa tano


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...