Mbunge
wa Arusha Mjini-CHADEMA,Mh Godbless Lema akitoa hotuba fupi mara baada
ya kushinda katika rufaa ya kesi yake ya kupinga matokeo, iliyosomwa
jijini Dar es Salaam leo kulia kwake ni Mbunge wa Chadema Arumeru
Mashariki Joshua Nasari
Mbunge wa Arusha Mjini-CHADEMA,Mh Godbless Lema akiondoka kwa staili ya maandamano Mahakamani leo baada ya
kushinda katika rufaa ya kesi yake ya kupinga matokeo, iliyosomwa jijini
Dar es Salaam leo kushoto kwake ni katibu wa Chadema mkoa wa kinondoni na katibu wa kuteuliwa wa kanda maalum ya Dar es salaam Henry Kilewo
Mwekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai, Mh Freeman Mbowe(wa pili
kulia)akiteta jambo na Mbunge wa Arusha Mjini(CHADEMA)mH gODBLESS Lema
ndani ya mahakama leo asubuhi muda mfupi kabla ya rufaa ya kesi yake ya
kupinga matokeo iliyosomwa jijini Dar es Salaam leo kutolea hukumu na
kuamuru lema kuwa ni mbunge Halali wa Arusha Mjini wa Pili kushoto ni
Mbunge wa Arumeru Mashariki(CHADEMA)Mh Joshua Nasari na wa kwanza
kushoto ni katibu wa Chadema mkoa wa kinondoni na katibu wa kuteuliwa wa kanda maalum ya Dar es salaam Henry Kilewo
Kutoka kushoto ni Mke wa Mbunge wa Arusha Mjini(CHADEMA)Godbless Lema,katibu
wa kuteuliwa wa kanda maalum ya Dar es salaam Henry Kilewo,Mbunge wa
Arumeru masharii Joshua Nasari,Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai
Freeman Mbowe wakiwa mahakama ya rufaa leo asubuhi muda mfupi kabla ya hukumu ya kesi ya kutolea
Mawaikili wakiwa kwenye viti vyao leo muda mfupi kabla ya hukumu ya kesi ya lema kutolewa asubuhi hii
Baadhi ya watu mbalimbali waliofurika mahakamni leo kusikiliza hukumu ya lema
Wakili Machachari na Mbunge wa Singida Vijijini(CHADEMA)
Tundu
lissu ambae alikua mtetezi wa Mbunge wa Arusha Mjini(CHADEMA)Godbless
lema ambae aliingia kwenye kesi upande wa utetezi baada ya kesi kufika
mahakama ya rufaa akiongea machache baada ya hukumu hiyo.watu mbalimbali
walimshangiliwa sana leo
Vitalisi kimomogoro,wakili wa lema.huyu ndiye amekuwa na kesi hii tangu ilipoanza
Askari wakisindikiza msafara wa wafuasi wa CHADEMA baada ya Mahakama ya
Rufaa kutoa hukumu ya Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini (CHADEMA)Godbless
Lema.
--
No comments:
Post a Comment