Meneja Ufundi wa Petroli wa Mamlaka
ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA, Gerald Maganga
akifafanua jambo kuhusu masuala ya mafuta wakati wa mkutano na wajumbe
wa Jukwaa la Wahariri (TEF), wa kubadilisha na mawazo hivi karibuni
jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Gesi Asilia wa mamlka hiyo,
Mhandisi Charles Omujuni.
Mkurugenzi wa Uchumi wa Mamlaka ya
Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA, Felix Ngamlagosi
akifafanua jambo kuhusu utendaji wa mamlaka hiyo wakati wa mkutano na
wajumbe wa Jukwaa la Wahariri (TEF), wa kubadilisha na mawazo hivi
karibuni jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Maji na Maji
Taka wa EWURA, Mhandisi Mutaekulwa Mutegeki.
Mkurugenzi Mkuu wa EWQURA, Haruna Masebu akiwakaribishwa wahariri kwenye mkutano huo
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Haruna Masebu (kushoto),
Haruna Masebu akielezea utendaji wa mamlaka hiyo wakati wa mkutano wa
pamoja na wajumbe wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) wa kubadilishana
mawazo, Dar es Salaam . Kulia ni Mwenyekiti wa TEF, Absalom Kibanda
ambaye pia ni Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya New Habari.
Mkurugenzi wa Sheria wa Mamlaka ya
Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA, Miriam Mahanyu (kushoto)
akifafanua jambo kuhusu utendaji wa mamlaka hiyo wakati wa mkutano na
wajumbe wa Jukwaa la Wahariri (TEF), wa kubadilisha na mawazo hivi
karibuni jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Haruna
Masebu.
Mkurugenzi wa Maji na Maji Taka wa
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), Mhandisi
Mutaekulwa Mutegeki (kushoto) akielezea kuhusu mfumo wa maji safi na
taka wakati wa mkutano na wajumbe wa Jukwaa la Wahariri (TEF), wa
kubadilisha na mawazo hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia
ni Mkurugenzi wa Umeme wa mamlaka hiyo, Mhandisi Anastas Mbawala na
Mkurugenzi wa Uchumi wa Ewura, Felix Ngamlagosi.
Mtangazaji wa Star Tv, Tom Chilala
akiuliza swali kwa uongozi wa Ewura. Kushoto ni Mhariri wa gazeti la
Dira ya Mtanzania, Abraham Ojuku.
Mhariri wa habari wa gazeti la Daily
News, Leonald Mwakalebela akiuliza swali wakati wa mkutano wa wahariri
wa vyombo vya habari wa kubadilishana mawazo na uongozi wa Mamlaka ya
Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Dar es Salaa
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri
Tanzania (TEF), Absalom Kibanda (kulia) akiongoza mkutano wa wahariri wa
kubadilishana mawazo na uongozi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za
Nishati na Maji (EWURA), Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa
EWURA, Haruna Masebu.
Mhariri Mkuu wa gazeti la Habari Leo,
Joseph Kulangwa akiuliza swali kuhusu tatizo la maji wakati wa mkutano
wa pamoja kati ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji
(EWURA) na Jukwaa la Wahariri Tanzania, jijini Dar es Salaam. Kulia ni
Tumiani Abdalah wa Daily News.
Mkurugenzi Mkuu wa Ewura, Haruna
Masebu (kulia) akijadiliana jambo na maofisa wake muda mfupi kabla ya
mkutano na Jukwaa la Wahariri kuanza katika Hoteli ya JB Belmonte Dar es
Salaam.Picha na Richard Mwaikenda
No comments:
Post a Comment