Kwa mujibu wa Breaking News toka Radio One, Padre
anayejulikana kwa jina la Ambrose Mkenda amepigwa Risasi na Watu
wasiofahamika kwenye gate la nyumbani kwake wakati akifunguliwa gate
aingie nyumbani kwake maeneo Kitomondo Mjini Zanzibar, ambako ndiko
makazi yake yalipo akiwa ndani ya gari aliyokuwa akiendesha pekee yake.
Hali yake sio nzuri kwani Risasi aliyopigwa imemdhuru maeneo ya mdomoni.
Waliompiga Risasi Padre huyo inasemekana ni watu waliokuwa kwenye pikipiki, ambao walimvamia akisubilia afunguliwe gate kuingia nyumbani kwake.
Kutoka Jamiiforums

No comments:
Post a Comment