Kamanda
wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam Suleiman Kova (kushoto)
akizungumza na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu hatua
zilizochukuliwa na jeshi hilo kufuatia sakata la kutojulikana zilipo
fedha taslimu shilingi milioni 150 zinazohusiana na tukio la ujambazi la
kariakoo pia mafanikio ya msako unaoendelea na taarifa za matukio
mengineyo ikiwemo vifo. Kulia ni Kamanda wa Polisi mkoa wa Kinondoni ACP
Charles Kenyela.
Baadhi
ya risasi 200 za bunduki ya SMG zilizokamatwa maeneo ya Kimara Mwisho
baada ya watuhumiwa kutupa begi na kukimbia kwa pikipiki.
No comments:
Post a Comment