ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Monday, December 31, 2012

Salamu za Mwaka Mpya 2013 kutoka goldentz blog

 Mwaka 2012 ulikuwa mwaka wa mapambano mengi. Kalini hatukukata tamaa.
Video hiyo hapo chini imenifundisha kuwa, ijapokuwa shida ni kubwa kiasi gani, lakini ukiamua, unaweza kuishinda. katiak hali ya kawaida, hakuna anayetarajia kuwa  pundamlia anaweza kutka katika mikono ya simba akeshakamatwa. Sivyo ilivyokuwa kwa pundamlia huyu ambaye kwa hakika ameonyesha nia ya kuendelea kuishi na ametumia akili na nguvu zake zote kukoa katika makucha ya simba mwenye njaa.
Mimi na wewe tukitumia nguvu, akili na utashi wetu wote tunaweza kumshinda simba mwenye njaa anayetuwinda ambaye kwetu anakuja kama njaa, ujinga, rushwa, ufisadi, magonjwa, umaskini......
Mwaka huu wa 2013 tuwe kama huyu PUNDAMLIA, ambaye hakukubali hadi kimeeleweka.
HERI YA MWAKA MPYA 2013


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...