--
WASANII
wa nyumba ya vipaji, Tanzania House of Tallent ‘THT’ usiku wa kuamkia
leo waliangusha bonge la pati ndani ya Ukumbi wa Dar live uliopo
Mabagala jijini Dar kusherehekea miaka 7 ya kuanzishwa kundi hilo la
kukuza vipaji. Katika pati hiyo wasanii mbalimbali wa muziki walitoa
burudani hasa wasanii wenyewe wa THT. Pichani juu ni baadhi ya matukio
yaliyojili ukumbini hapo.PICHA : RICHARD BUKOS NA MUSA MATEJA / GPL
No comments:
Post a Comment