mh.Idd Azzan ambaye pia ni mwenyekiti wa timu hiyo wakiwa kwenye mlima wa mawe kwa mazoezi ya kujiwinda kwa safari ya Nairobi ambayo waliianza jana na kuahidi ushind kwa timu hiyo
mh.Grasse Kiwelu,mh;Ester Bulaya na wahishimiwa wangine wakiwa kwenye mazoezi ya gmy kweny gmy ya Life iyopo kwenye mtaa wa Sengengeri mkabala na baclays back wakifuatilia kwa ukaribu maelekezo ya mwalim wao wa gmy( picha zote na mahmoud ahma arusha)
No comments:
Post a Comment