ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Thursday, December 27, 2012

Wafanyakazi wa shamba la chai India wamchoma moto bosi wao hadi kufa


Mamia ya wafanyakazi wa shamba moja la chai wamechoma moto nyumba ya bosi wao huko Kaskazini Mashariki mwa India, na kusababisha kifo cha na mkewe.
Wafanyakazi hao wenye hasira waliizunguka nyumba hiyo iliyoko Kunapathar katika jimbo la Assam, kufuatia mgogoro wa wiki mbili na utawala wao.
Polisi wamesema tukio hilo limetokea baada ya utawala kuwataka baadhi ya wafanyakazi kuondoka katika nyumba wanazoishi.
Zaidi ya nusu ya chai inayotoka India hulimwa katika mashamba 800 katika jimbo la Assam.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...