Katibu
Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto) akipokea tuzo ya
ufanyakazi bora wa Wizara hiyo kutoka kwa Waziri wa Fedha Dkt . William
Mgimwa(kulia) . Tafrija fupi ya kuwazawadia wafanyakazi bora ilifanyika
jana mjini Dar es salaam na kuhudhuriwa na wafanyazi mbalimbali.
Mkuu
wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini katika Wizara ya Fedha Ingiahedi
Mduma (kushoto) akipokea tuzo ya ufanyakazi bora wa kitengo kutoka kwa
Waziri wa Fedha Dkt . William Mgimwa(kulia).Tafrija fupi ilifanyika jana
mjini Dar es salaam kufuatia kuchaguliwa kwake mwezi Mei mwaka huu kuwa
mfanyakazi bora wa mwaka 2012.
Mkuu
wa Mfuko wa Mikopo wa Hazina kutoka Idara ya Mhasibu Mkuu wa Serikali ,
Wizara ya Fedha Christina Ngonyani (kushoto) akipokea tuzo ya
ufanyakazi bora wa kitengo kutoka kwa Waziri wa Fedha Dkt . William
Mgimwa (kulia) . Tafrija fupi ilifanyika jana mjini Dar es salaam
kufuatia kuchaguliwa kwake kuwa mfanyakazi bora wa mwaka 2012.
Waziri
wa Fedha Dkt.William Mgimwa (katikati) akiwapongeza wafanyakazi wa
Wizara ya Fedha walichaguliwa mwezi Mei mwaka huu kuwa wafanyakazi bora
kwa mwaka 2012. Tafrija fupi ya kuwazawadia wafanyakazi bora ilifanyika
jana mjini Dar es salaam na kuhudhuriwa na wafanyazi mbalimbali.
Waziri
wa Fedha Dkt. William Mgimwa , Katibu wa Wizara ya Fedha Ramadhan
Khijjah wakishirikiana na viongozi wa TUGHE na wafanyakazi wa Wizara
hiyo jijini Dar es salaam kuimba wimbo wa mshikamano wakati wa tafrija
fupi jana ya kuwapongeza wafanyakazi bora wa mwaka huu.
(Picha na GCU- HAZINA)
No comments:
Post a Comment