
Wananchi wakisubiri kwa hamu
kuanza kwa mashindano ya resi za ngarawa yalioyofanyika huko forodha
mchanga ikiwa ni shamra shamra za miaka 49 ya Mapinduzi ya
Zanzibar.Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Naibu Waziri wa
Ardhi,Makazi,Maji na Nishati Haji Mwadini Makame akipuliza filimbi
kuonyesha ishara ya kuanza kwa mashindano hayo.Picha na Makame
Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Ngarawa zikianza mashindano mara
tu ilipopulizwa firimbi ya kuanza mashindano hayo huko forodha mchanga
ikiwa ni shamra shamra za miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Wananchi wakishangilia jinsi
mpambano ulivyokuwa mkali huko forodha mchanga ikiwa ni shamra shamra za
miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Ngarawa mbili za mbele
zikichuana vikali katika mashindano yalio fanyika huko forodha mchanga
ikiwa ni shamra shamra za miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Naibu Waziri wa
Ardhi,Makazi,Maji na Nishati Haji Mwadini Makame akimkabidhi zawadi
mshindi wa kwanza katika mshindano hayo Nahodha Fundi Abuubakar kutoka
Bumbwini.
No comments:
Post a Comment